9 likes, 0 comments - loxy.cosmetics on January 24, 2025: “More than Gold Body oil Hii ni kwa Wale ambao wanataka kung’aa kama kioo. Ni oil nzuri sana kwa mwilini yenye mchanganyiko wa papaya extract
✅inang’arisha haswaaa
✅inaondoa madoa na alama nyeusi mwilini
✅yanakupa glowing skin amazing sana
✅yanakupa rangi moja mwili mzima
✅kama hupendi tumia lotion unaweza tumia haya
mafuta peke yake na unang’aa
✅inaondoa weusi wa makwapani na mapajani Price 30,000Tsh”.