31 likes, 11 comments - mfamasiawakitaa on March 14, 2025: “Mtag rafiki yako. Kufunga kuna faida nyingi sana kiafya, ni lifestyle yenye matokeo mazuri ukilinganisha na mtindo wa maisha wa kula mara 3 kwa siku. Hatukushauri tunakuelimisha ili uchukue hatua sahihi. #afya #health #tips #kufunga #intermittentfasting #fasting #weightloss”.