TRANSLATION WORK

SIBORA MAGIGE

Copywriter
Transcriber
Translator
Gmail
Google Ads
Instagram
ENGLISH SWAHILI TRANSLATION & SWAHILI HAYA TRANSLATION
He dreamed of leaving his law firm to open a grocery shop.
HAYA LANGUAGE:Akaba aine endoto yokuleka ekampuni yobuwakili ili akomolole eduka ye mboga
SWAHILI LANGUAGE:Alikuwa na ndoto ya kuacha kampuni yake ya uwakili ili kufungua duka la mboga.
Garlic ice cream was her favorite.
HAYA LANGUAGE:aiskrimu ye ebitunguru, Ekaba eriyo obupendo bwawenene
SWAHILI LANGUAGE:Aiskrimu ya vitunguu ilikuwa favorite yake.
All you need to do is pick up the pen and begin.
HAYA LANGUAGE:ekyokwenda kukola, no kukwata ekalamu no kubanza
SWAHILI LANGUAGE: Unachohitaji kufanya ni kuchukua kalamu na kuanza.
Partner With SIBORA
View Services

More Projects by SIBORA